WALIOFARIKI AJALI YA KIVUKO SASA NI 218... 47 WATAZIKWA KESHO...ANGALIA MAANDALIZI HAPA


Idadi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere imefikia 218.

Akizungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Jumamosi Septemba 22, 2018 saa 2 usiku huu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amesema kwa sasa taratibu mbalimbali zinafanyika ikiwa ni pamoja na jitihada za kukinyanyua kivuko hicho kazi ambayo itafanywa na timu ya waokoaji.

“Kesho kuanzia saa 2 asubuhi kamati itafanya maziko ya miili 47”, amesema Mongella.

SOMA PIA : IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA KIVUKO YAFIKIA 209... MIILI 172 IMETAMBULIWA, BADO 37

ANGALIA PICHA ZA MAANDALIZI YA MAZISHI HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post