Angalia Picha : MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI WA MAZISHI YA WATU WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA KIVUKO CHA MV NYERERE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa mazishi ya wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI WA UVCCM)

Wananchi wakifuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu Mhe kasimu Majaliwa akati wa mazishi ya wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018. 
Baadhi ya Majeruhi walionusurika katika Ajali ya Meli wakisikiliza Hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akati wa mazishi ya wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018. 
Baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali 
Wanachama wa CCM wakifuatilia 
Meza kuu 
Askari wakiweka kaburibi miili ya baadhi ya wananchi walifariki dunia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama kwenye kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe wakati wa mazishi yaliyoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kijiji cha Bwisa kisiwani Bukara, Septemba 23, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima kwenye kaburi la mmoja wa wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018.
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Jumuiya ya UVCCM na UWT Taifa Wakitoa heshima kwenye kaburi la mmoja wa wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018.
Viongozi wa CCM Mkoa wa Mwanza wakitoa heshima kwenye kaburi la mmoja wa wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018.

Baadhi ya Mawaziri wakitoa heshima kwenye kaburi la mmoja wa wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI WA UVCCM)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527