Breaking : MAGARI MANNE YAGONGANA NA KUUA WATU 11 MBEYA
Friday, September 07, 2018
Watu 11wamefariki baada Magari manne kugongana katika mteremko wa Igawilo mkoani Mbeya.
Inaelezwa kuwa Lori lililokuwa linatoka Rungwe kwenda Mbeya Mjini lilifeli breki na kuigonga Hiace ambapo ilipoteza mwelekeo na kuyagonga magari ya mbele yake.
Social Plugin