Picha : RC RUVUMA AZINDUA KIWANDA CHA UNGA MANISPAA YA SONGEA


Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akizindua kiwanda cha kuzalisha Unga Sembe poa na Dona poa kilichopo Ruhuwiko Manispaa ya Songea leo Ijumaa Septemba 21,2018

Kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha unga Sembe poa na Dona Poa Eng. Hersi Said akimuonyesha Mkuu wa mkoa wa Ruvuma unga unaozalishwa kiwandani kwake jana wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho kilichopo Ruhuwiko Manispaa ya Songea.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akitembelea kiwanda cha kuzalisha unga Sembe poa na Dona poa kilichopo Ruhuwiko Manispaa ya Songea
Mkurugenzi mkuu Kiwanda cha CAAMIL kilichopo Ruhuwiko Manispaa ya Songea ambacho kinatengeza bidhaa aina ya Sembe Poa na Dona poa Eng.Hersi Said akisalimiana na Rc Ruvuma wakati wa ufunguzi wa Kiwanda hicho leo .

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post