AJALI MV NYERERE : MIILI ILIYOOPOLEWA ZIWANI YAFIKIA 94


Mpaka kufikia saa 5:35 asubuhi Ijumaa Septemba 21,2018 dadi ya watu waliofariki baada ya kivuko cha MV Nyerere imefikia 94.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella hadi leo saa 5 na 35   jumla ya maiti 94 zimeopolewa.
SOMA PIA :YALIYOTABIRIWA NA MBUNGE KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV NYERERE YATIMIA...VILIO,SIMANZI VYATAWALA
Theme images by rion819. Powered by Blogger.