RAIS MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WAKAZI WA CHATO KATIKA MAZISHI YA DADA YAKE MAREHEMU MONICA MAGUFULI YALIYOFANYIKA CHATO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.