KAULI YA NAPE NNAUYE MTATIRO KUHAMIA CCM ......"UIMARA WA CCM UNATEGEMEA UWEPO WA UPINZANI" | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, August 11, 2018

KAULI YA NAPE NNAUYE MTATIRO KUHAMIA CCM ......"UIMARA WA CCM UNATEGEMEA UWEPO WA UPINZANI"

  Malunde       Saturday, August 11, 2018
Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama hicho, akisema kuwa hamahama hiyo itumike kama fursa ya kujenga upya demokrasia.


Nape ametoa maneno hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo amesema hamahama hiyo pia itumike kama fursa ya kujenga uimara wa CCM.

Hata hivyo, Nape amesema uimara wa CCM unategemea ubora wa upinzani huku akifananisha na ushindani wa timu za Simba na Yanga.

"Kama msomi wa Sayansi ya siasa, naona hii ni FURSA muhimu ya KUJENGWA kwa aina MPYA ya VYAMA na SIASA za upinzani nchini! Kwa DEMOKRASIA hamahama hii ni muhimu ITUMIKE kama FURSA ya kujenga UPYA! Uimara wa CCM unategemea ubora wa UPINZANI!{Simba/Yanga} " ameandika Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post