Breaking : HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WAKURUGENZI 41 WAPYA WA HALMASHAURI WALIOTEULIWA LEO


Rais John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini.

Uteuzi huo alioufanya Rais Magufuli umetangazwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.
ANGALIA MAJINA YOTE HAPA


Theme images by rion819. Powered by Blogger.