MSHINDI WA MILIONI 300 ZA SUPA MZUKA CUP 2018 KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MBAGALA -TEMEKE | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, July 18, 2018

MSHINDI WA MILIONI 300 ZA SUPA MZUKA CUP 2018 KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MBAGALA -TEMEKE

  Malunde       Wednesday, July 18, 2018

Katibu Tawala wilaya ya Temeke Ndugu Hashimu Komba (kwa niaba ya MKuu wa Wilaya),akimkabidhi Kombe la Tatu Mzuka kwa kijana mkazi wa Mbagala,Abeid Amir aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 300,alipokwenda kutambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.Katika mazungumzo yake na Uongozi wa Wilaya mshindi huyo ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha Polisi kinachojengwa Mbagala.
Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 Abeid Amir akipokelewa kwa shangwe,nderemo na vifijo mara baada ya kuwasili nyumbani kwao Mbagala-Kilungule,ambapo pia alipokelewa vyema na viongozi wa serikali ya Mtaa kwa heshima kubwa.
Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 Abeid Amir akipokelewa kwa shangwe na Diwani wa Kata ya Kilungule Said Fella na akiwa sambamba na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kata ya Zomboko Ndugu Hemed Said Njiwa,mara alipowasili nyumbani kwao  Mbagala-Kilungule
Diwani wa Kata ya Kilungule Said Fella akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kumpokea mshindi huyo wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post