Breaking News : RAIS MAGUFULI AMFUKUZA KAZI MKUU WA WILAYA YA KAHAMA - SHINYANGA


Fadhili Nkurlu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Fadhili Nkurlu kuanzia leo.

Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.

Anamringi Macha ametakiwa kuripoti katika kituo chake cha kazi 
mara moja.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.