Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI ATUMBUA KIGOGO......KAMTEUA ERIO KUWA BOSI WA NSSF



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo Julai 14 2018.

Rais Magufuli amemteua Bw. William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com