Video Mpya : DIAMOND PLATNUMZ Ft RAYVANNY - IYENA....VIDEO QUEEN NI ZARI THE BOSSLADY

Msanii Diamond Platnumz ametoa video ya nyimbo yake iliyoko kweny album ya 'A Boy from Tandale' akimshirikisha msanii mwenzake kutoka WCB Rayvanny. Pia Video Queen wa Iyena ni Zari The bosslady
Itazame hapo chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.