MEXICO YAICHAPA KOREA KUSINI 2-1

Mchezo wa kundi F katika michuano ya Kombe la Dunia Urusi, umemalizika kwa Korea Kusini kufungwa mabao 2-1 na Mexico.


Mabao ya mchezo huo yaliwekwa kimiani na Carlos Vela dakika ya 26 kwa njia ya penati pamoja na Xavier Hernandez kwenye dakika ya 66.


Bao pekee la Korea liliwekwa kimiani na Song Heung mnamo dakika ya 90 zikiwa zimeongezwa tatu mpira kumalizika.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.