USTADHI ATUPWA JELA MIAKA 60 KWA KULAWITI MTOTO BUKOBA


Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba mkoani Kagera imemhukumu Ustadhi Amoud Kyabushukuru kifungo cha miaka 60 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka na kumlawiti mtoto mdogo wa kike aliyekuwa akimfundisha somo la dini.
Chanzo-https://www.facebook.com/itvtz/
Theme images by rion819. Powered by Blogger.