RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KINANA IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 27, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana Ikulu Jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 27,2018 


Theme images by rion819. Powered by Blogger.