Video mpya: BHUDAGALA - BHUHABI...HII NGOMA YA MOTO BALAA


Malunde1 blog inakualika kutazama video ya msanii maarufu wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara. Video inaitwa Bhuhabe akiwa anamaanisha Umaskini. Wimbo huu ndiyo unaobeba jina la albamu yake mpya 2018  aliyoipa jina la "Bhuhabe".

Albamu hii ina nyimbo sita ambazo ni Mali ya baba,Bhokoo,Kabhula,Mbalu,Tulebhalyo na Bhuhabe.
Video zote zita zimerekodiwa katika studio za Asili Yetu Africa zilizopo jijini Mwanza.

Tazama video ya Bhuhabe hapa chiniTheme images by rion819. Powered by Blogger.