RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA KINYEREZI ll JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Dkt. Alexander Kyaruzi alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito Mwinuka alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa Japani nchini Bw. Hiroyuki alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Segerea Mhe. Bonna Kaluwa alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati Mhe. Dunstan Kitandula alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nishati Dkt. Menard kalemani kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito Mwinuka kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Nishati Dkt. Menard Kalemani na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Stanlaus Nyongo akitembezwa kukagua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibofya kitufe kuashiria kuzindua rasmi mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Bila kujali mvua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi waliojitokeza kushuhudia akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Wananchi wakijumuika katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Wananchi wakijumuika katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Wananchi wakijumuika na wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Wananchi wakijumuika na wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Wananchi wakijumuika na wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Burudani katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akikaribisha wageni wake katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Mama Kate kamba akisalimia katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Sehemu ya wanahabari katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Katibui Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. hamisi Mwinyimvua akitambulisha wageni katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Mama Janeth Magufuli akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Makatibu Wakuu wakitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Kudumu ya Nishati Mhe. Dunstan Kitandula akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Wabunge wa mkoa wa Dar es salaam katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwakilishi wa Balozi wa Japan Bw. Hiroyuki Kubota kwa hotuba yake kwa Kiswahili fasaha katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu akipiga makofi katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba baada ya sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527