MPENZI WA BILL NAS AMWAGIA POVU NANDY ' HIYO CHU..P SIYO YA KUVAA WEWE..UNAJUA KUVAA NJE NDANI HUJUI'

Mambo bado ni mabaya kwa Nandy baada ya video yake ya uchi kuvuja akiwa na Bill Nass ambapo mpenzi wa Bill Nass amemshukia vikali Nandy kwa kile kilichotokea.



Alice ambaye ndiye anadaiwa kuwa katika mahusiano na Bill Nass kwa sasa ameonyesha kutopendezwa kabisa na kile kilichotokea kwa mpenzi wake pamoja na Nandy. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;


"Ujue wakati mwingine jitahidi kujiheshimu Nandy, Ulimpigia William simu ukimuomba akutumie picha zenu za wakati mnadate…. bila hiyana mume wangu alikutumia, lakini wewe uliposti zile picha hukuridhika ukaamua uachie video chafu kama ile halafu hapo hapo unakataa na kumlaumu mume wangu wakati iliyotumika ni simu yako.


"Upande wako kama unaona umewin basi jua umetuharibia mimi na mume wangu sana na hata kwa watoto wetu huko mbeleni sijui watamjengea picha gani baba yao.


"Cant you doing your fu*** music bila kiki?, au uliona mume wangu William ndo wa kutafutia kiki, naomba ukome tena haswa, kama ulikuwa naye ndio ishapita hivyo tuache na mahusiano yetu, sijui ni mwanamke wa dizaini gani wewe usiyekuwa na haya, unayejua kuvaa nje, ndani hujui, ile chu** ni ya kuvaa msichana kama wewe.


Hapo juzi, April 12, 2018 ilivuja video mtandaoni ya utupu ambayo iliwaonyesha Bill Nass na Nandy wakiwa faragha. Nandy ameshaomba radhi kwa mashabiki wake kutokana na tukio hilo na kueleza hajui nani hasa amevujisha video hiyo ila amekiri kuwa yeye ndiye aliirekodi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527