Nakusogezea ngoma mpya kabisa ya msanii wa Nyimbo za asili Kundi wa Ng'wamoto kutoka Misungwi Mwanza,inaitwa Ngosha Nkoyu. Kundi wa Moto /Kundi wa Ng'wamoto amepitia katika mikono ya Gwiji wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja. Video ya wimbo huu iko jikoni inapikwa itaachiwa hivi karibuni
Sikiliza hapa wimbo huu,unahusu wanaume vimeo