Wimbo Mpya : MTEMI NG'WANA KANG'WA - KARIBU DUNIANI


Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea ngoma za asili ,Tayari tunao hapa wimbo mpya mwaka 2018 kutoka kwa Gwiji wa nyimbo za asili Mtemi 'Ng'wana Kang'wa' kutoka Kahama mkoani Shinyanga unaitwa Karibu Duniani

Tunakualika kusikiliza wimbo huu hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527