Sunday, March 11, 2018

KONGAMANO LA MAOMBI MAALUMU KUOMBEA TAIFA KUFANYIKA LEO MWANZA

  Malunde       Sunday, March 11, 2018

Na BMG 
Kituo cha Maombi, Ushauri na Neno la Mungu kinawakaribisha watu wote kwenye Kongamano la Maombi Maalumu ya kuombea Mkoa wa Mwanza na Taifa kwa ujumla.

Kongamano hili litafanyika siku ya Jumapili Machi 11,2018 kuanzia majira ya saa 15:00 mchana hadi saa 18:00 jioni, mahali ni Pasiansi Mtaa wa Iloganzara barabara inayoelekea kiwanda cha Breweries kilipo kituo cha Maombi, Ushauri na Neno la Mungu.


Waimbaji mbalimbali wakiwemo Moses Butoi (Mzee wa Drip), Emmanuel Mwasasumbe, Andrew Samson, Derick Ndonge, Julieth Bisangi pamoja na kwaya kama vile Gilgal Choir, FPCT Pasiansi, AIC Pasiansi na nyingine nyingi zitatumbuiza kwenye kongamano hili.

Kumbuka kongamano hili halina kiingilio, yaani ni bure kabisa hivyo njoo ili kwa pamoja tuombee Baraka, Amani na Mafanikio ya mkoa wetu wa Mwanza na Taifa kwa ujumla. Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kwa nambari za simu 0767 77 76 17.

WATU WOTE, KWA IMANI ZOTE, NJOONI TUMWOMBE MUNGU KWA AJILI YA TAIFA LETU TANZANIA.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post