DR. HASSAN ABASS AZINDUA TOVUTI YA MISA TANZANIA, JIJINI ARUSHAMsemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas(wa kwanza Kulia) na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari(wa kwanza kushoto) wakizindua rasmi Tovuti ya MISA Tanzania inayopatikana hapa www.tanzania.misa.org

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas(wa kwanza Kulia) na Mwenyekiti wa  MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari(wa kwanza kushoto)pamoja na wadau mbalimbali ambao hawapo pichani wakipata maelezo kuhusiana na Tovuti ya MISA Tanzania kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa
Sengiyumva ambaye hayupo pichani.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa Sengiyumva(kulia) kulia akiendelea kutoa maelezo mbali mbali na vitu ambavyo vinapatikana katika Tovuti ya MISA Tanzania

Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa Tovuti ya MISA Tanzania Jijini Arusha.

TOVUTI INAPATIKANA HAPA
www.tanzania.misa.org
Theme images by rion819. Powered by Blogger.