DK. MWANJELWA AMSIFU BINTI MKULIMA WA KITANZANIA ALIYEAJIRI WAFANYAKAZI 26 SHAMBANI


Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akilakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa GBRI Business Company Solutions Ltd, Hadija Jabiri alipotembelea sehemu ya shamba lenye hekari 30 analomiki mkulima huyo linalozalisha Mbogamboga na matunda kwa ajili ya biashara ndani na nje ya Nchi katika kijiji cha Kiwele Mkoani Iringa hivi karibuni. (Na Robert Okanda Blogs)
Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akikagua sehemu ya shamba lenye hekari 30 la GBRI Business Solutions Company Limited, Hadija Jabiri akiwa na mwenyeji wake mmiliki wake, Hadija Jabiri (wa pili kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Ukanda wa Kusini wa kukuza Kilimo (SAGCOT), Geoffrey Kirenga na Afisa kilimo wa mkoa wa Iringa Lucy Nyalu. 
Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akibadilishana mawazo na Mmiliki wa GBRI Business Solutions Company Limited, Hadija Jabiri alipotembelea shamba kitalu cha kampuni hiyo. 
Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa (wa pili kushoto) akishiriki upangaji wa bidhaa za mbogamboga kwenye madajara alipotembelea sehemu ya kufungashia mazao ya GBRI Business Solutions Company Limited. Kushoto ni Mmiliki wa kampuni hiyo, Hadija Jabiri na sehemu ya wafanyakazi. 
Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akimsikiliza mmoja wa wananchi akitoa maoni yake kuhusiana na miundombinu ya jirani na shamba la bidhaa za mbogamboga la kampuni ya 'GBRI Business Solutions Company Limited'. 
Wageni na baadhi ya maofisa wa Serikali na SAGCOT wakimsikiliza Naibu waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa alipotembelea shamba la GBRI Business Company Solutions Ltd kwenye kijiji cha Kiwele linalomilikiwa na Hadija Jabiri. 
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa akizungumza na wageni na baadhi ya maofisa wa Serikali na SAGCOT alipotembelea shamba la GBRI Business Company Solutions Ltd kwenye kijiji cha Kiwele linalomilikiwa na Hadija Jabiri (kushoto kwake). Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu. 
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa akikagua shamba la mbombamboga la Kampuni hiyo. 
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa akikagua mazao ya mbombamboga yakifungashwa.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa akikagua mazao ya mbombamboga yaliokwisha fungashwa yakiwa kwenye chumba baridi tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Kulia ni Mmiliki wa GBRI Business Solutions Company Limited, Hadija Jabiri.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa akijionea mazao ya mbombamboga yaliokwisha fungashwa yakiwa kwenye chumba baridi tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Pamoja naye (kulia) ni Mmiliki wa GBRI Business Solutions Company Limited, Hadija Jabiri na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Ukanda wa Kusini wa kukuza Kilimo (SAGCOT), Geoffrey Kirenga ambao ni washauri wakuu wa masuala ya kilimo wa kampuni hiyo. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post