Video Mpya : BARNABA Ft ASLAY - NGOMA


Barnaba ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha msanii toka kundi la Yamoto Band lililovunjika tangu mwaka jana, Dogo Aslay ambaye amekuwa tishio kwa wanamuziki kwa kutoa nyimbo nyingi, kali na nzuri zinazotamba mtaa kwa mtaa.

Wimbo huo umechezwa katika mazingira ya kijijini huku mpendezesha video akiwa mwanadada maarufu Tunda.

Tazama video hiyo hapo chini

Theme images by rion819. Powered by Blogger.