Monday, January 22, 2018

TIGO WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA MAWAKALA

  Malunde       Monday, January 22, 2018

Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akimkabidhi mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Mil 2 mshindi wa kwanza wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Hassan Kusaga ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1,mwaka jana ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi. 
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akimkabidhi mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Mil 1 mshindi wa Pili wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Mwakilishi wa kampuni ya Real Statonary ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1,mwaka jana ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi.
Washindi wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini wakiwa katika picha ya pamoja ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1,mwaka jana ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi.
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1,mwaka jana ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post