Tanzia ! MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA ZUBERI MSABAHA AFARIKI DUNIA


Zuberi Msabaha enzi za uhai wake
 ****
Mtangazaji wa wa Radio Free Afrika hasa kipindi cha Muziki wa Bolingo na nyimbo za Kongo Zubery Msabaha amefariki dunia jijini Mwanza.

Zuberi Msabaha alikuwa ameugua kwa muda mrefu.Msiba upo Mabatini jijini Mwanza na mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.

R.I.P Zuberi Msabaha.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527