RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS UHURU KENYATTA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ataungana na viongozi wa mataifa mbalimbali kuhudhuria sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi cha awamu ya pili.

Sherehe hizo zitafanyika Jumanne Novemba 28, 2017 jijini Nairobi, Kenya.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post