YANGA YAANZA MAZOEZI UWANJA WA UHURU

Taswira namna kikosi cha Yanga kilivyofanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

Yanga ndiyo mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara wanaoshika nafasi ya tatu baada ya mechi 10 nyuma ya vinara Simba na Azam FC walio katika nafasi ya pili.

Theme images by rion819. Powered by Blogger.