Thursday, October 12, 2017

WASHINDI WA SHINDANO LA FIKA NA FINCA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

  Malunde       Thursday, October 12, 2017

Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi Bw.Hussein Bashe (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi Bw. Charles Alfred (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya Ngorika Joyce Assenga leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
Meneja wa Masoko wa Benki ya Finca Microfinance Bw. Nicholous John, akifurahi jambo na Adam Jumanne wa pili kutoka kulia akipokea zawadi kwa niaba ya Miriam Masanje ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba (katikati) na mwishoni kulia Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam. 
Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa benki ya FINCA na maafisa usafirishaji wa Ngolika na New force mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam. 

Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam. 
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpyaHAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.bdkxfuvweev_drskoew
Previous
« Prev Post