Picha : TIGO FIESTA 2017 UWANJA WA MKWAKWANI JIJINI TANGA

Msanii wa bongo fleva, Nandy akiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga usiku wa kuamkia Jumamosi.
Msanii Aslay akitumbuiza mashabiki waliofurika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta 
Msanii mkongwe wa Taarabu Khadija Kopa na msanii wa bongo fleva, Ben Pol kwa pamoja wakiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga
RosaRee akiwa katika jukwaa la Tigo Fiesta 
Msanii Zaidi yao akiimba na mashabbiki zake katika Tamasha la Tigo Fiesta Mkoani Tanga.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post