Wahaya na Wasukuma Mpoo!! HII HAPA NGOMA YA NYANDA KUZENZA Ft CHRISS P & SENDO B - TOTAGAMBEHabari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mdau wa ngoma za asili...Leo nakualika kutazama video hii inaitwa Tutagambe kutoka kwa Nyanda Kuzenza amemshirikisha Chriss P na Sendo B ambao wanaimba kwa lugha tatu Kisukuma,Kihaya na Kiswahili.Video hii imetengenezwa katika studio za Ashoz.

Tumia dakika zako chache kutazama video hii kali balaa,weka mbali na watoto


Theme images by rion819. Powered by Blogger.