SPIKA NDUGAI AWATAKA WABUNGE WATOE NUSU YA POSHO ZAO KUCHANGIA MATIBABU YA TUNDU LISSU

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaomba wabunge watoe nusu ya posho zao kwa siku kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu.

Ndugai amesema leo bungeni kuwa gari ya Tundu Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32,lakini zilizompata Tundu Lissu ni tano ambapo zilimjeruhi tumboni na mguuni.

Lissu aliondolewa Hospitali ya General Dodoma Usiku wa kuamkia leo na kupelekwa nchini Kenya kwa Matibabu zaidi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post