Wasanii wanaofanya kazi chini ya lebo ya muziki ya WCB Wasafi, pamoja na boss wa lebo hiyo Diamond Platnumz na wasanii wake Rayvanny, Harmonize , ,Lavalava , Queen Darleen, Rich Mavoko na msanii wa zamani wa Yamoto Band Marombosso ‘Mbosso’, wameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Zilipendwa’,