Video Mpya Kabisa: NCHAINA 'MDOGO WAKE NYANDA MADIRISHA' - BIASHARA

Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya Nchaina .'Mdogo wake Nyanda Madirisha' inaitwa Biashara.Video hii imetengenezwa Hardtone Studios za mjini Kahama ikiongozwa na Manwell.Nchaina ni mdogo wake na marehemu Msanii Nyanda Madirisha 'The Super Star'aliyefariki mwaka 2016 wakati akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu.

Baada ya kifo cha Nyanda Madirisha 'The Super Star' ,Nchaina alikabidhiwa mikoba ya kaka yake ili kuendeleza kazi ya kaka yake. Hata hivyo mdogo wake mwingine na Nyanda Madirisha,Nyanda Maliganya naye anatumia mitindo ya uimbaji wa kaka yao Nyanda Madirisha.
Tazama Video ya Nchaina inaitwa Biashara hapa chini

Theme images by rion819. Powered by Blogger.