TUNDU LISSU APELEKWA NYUMBANI KWAKE NA POLISI KUPEKULIWA

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake na Polisi kwa ajili ya kupekuliwa.


Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi baada ya kumkata jana alipokuwa anatoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni kuhojiwa kwa makosa mawili. 


Kosa la kwanza ni kumkashifu Rais, na kosa la pili ni la uchochezi dhidi ya ndege za serikali kuzuiwa Canada

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post