Video Mpya : NYANDA KULYEHELWA - MCHAKA MCHAKA..VIUNO BALAA WEKA MBALI NA WATOTONi kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea nyimbo za asili,leo tunakukutanisha na msanii Nyanda Kulyehelwa unaitwa Mchaka Mchaka.Tazama ngoma hii hapa chini,wanenguaji wake balaa mtupu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post