TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM


Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.
Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo
Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. 
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo 
.Msanii kutoka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam 
 Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Msanii Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo 
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders







Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post