Video: MWANAFUNZI AJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA NNE MPAKA CHINI


Mtoto anayedhaniwa kuwa ni Mwanafunzi wa shule ya DYCCC iliyopo Chang'ombe jijini Dar es Salaam amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini huku chanzo cha tukio hilokikiwa bado hakijafahamika haraka.



Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Temeke, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Gilles Muroto amekiri kutokea kwa tukio hilo ingawa taarifa hizo zipo kwenye mitandao na hazijafikishwa kituoni hapo lakini tayari wameanza kufuatilia ili kubaini nini chanzo cha cha tukio hilo.

Hata hivyo Jina na umri wa mtoto huyo bado havijafahamika. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.

Tazama video zaidi ya tukio hilo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments