JAJI MWINGINE WA MAHAKAMA KUU AJIUZULU WADHIFA WAKE...RAIS MAGUFULI ARIDHIA

Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Mwendwa Judith Malecela amejiuzulu wadhifa wake huo kuanzia leo baada ya Rais Magufuli kukubaliana na ombi la jaji huyo aliyetaka kujiuzulu wadhifa wake.


Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu leo imedai kuwa Rais Magufuli amekubaliana na ombi la Jaji huyo hivyo kuanzia leo tarehe 20 Juni, 2017 Judith Malecela hatakuwa tena Jaji wa Mahakama Kuu. 




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post