Mbunge wa Mtama mapema leo hii baada ya Rais John Magufuli kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospita Muhongo kutokana na wizara yake kutowajibika na kashfa ya Makontena ya Mchanga wa w Dhahabu.
Rais Magufuli amepokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa Kontena za mchanga wa Dhahabu.
Nape Mnauye amemsifu kitendo cha Rais
Magufuli kuwawajibishwa watendaji wa serikali na kumpongeza kwa kitendo hicho
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin