Video: WASANII WA BONGO FLEVA WA WAKUTANA KUJADILI KUPOTEA KWA ROMA MKATOLIKI
Friday, April 07, 2017
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini kwa pamoja wameungana na kuviomba vyombo vya usalama nchini kufanya juhudi za kumtafuta msanii mwenzao Roma Mkatoliki na wenzake wanaodaiwa kutekwa na kupelekwa kusikojulina.
Wasanii hao, leo wamekutana COCO Beach na kulaani kitendo cha Roma kutekwa, huku wakiitaka serikali iwasaidie kumtafuta na kumpata akiwa salama.
==> Hii ni video ya mazungumzo yao na vyombo vya habari leo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin