Trizah B ni msanii wa kike,amekulia Kenya na Tanzania mkoa wa Mara,hivi sasa anaishi mjini Nairobi nchini Kenya.
Director wa video hii ambayo sasa inafanya vizuri katika vyombo vingi vya habari ndani na nje ya Kenya ni Crizo Mzeyah.
Tazama video Nitakufa Nawe ya Trizah B hapa chini