MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA AFARIKI WAKATI SHAURI LAKE LIKISIKILIZWA


Mtuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya aina ya bangi mkazi wa Kata ya Kibeta Manispaa ya Bukoba Kudra Winchslaus amefariki dunia wakati shauri lake lilipoitwa kwa ajili ya kusikilizwa.


Shauri hilo namba 50 la kukutwa na debe mbili za bangi lilikuwa katika mahakama ya hakimu mkazi Bukoba. Kamanda wa Polisi Augustino Ollomi amesema atatoa ufafanuzi wa suala hilo baadaye.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post