KAULI YA NAPE NNAUYE BAADA YA SERIKALI KURUHUSU WIMBO WA NAY WA MITEGO UCHEZWE
Monday, March 27, 2017
Baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, March 27, 2017 kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kumuchia huru msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitego na kutaka wimbo wake ‘Wapo’ uchezwe kwenye vyombo mbalimbali. Sasa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter hakuweza kuficha hisia zake juu ya maamuzi ambapo aliyaandika haya…“Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara dhidi ya muziki wa Ney!” .
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin