AFANDE SELE:HILI SAKATA LA MAPAPA NA MAPUNDA YA UNGA ..HUENDA HATA WALE WASAFI WATAONEKANA WACHAFU


Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekuwa wakifuatilia pia na mambo ya siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii ameandika kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda.




Afande ameandika "Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee"

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post