TAZAMA NGOMA MPYA YA NYANDA BETELI - KIFO CHA MSANII NYANDA MADIRISHA
Sunday, January 29, 2017
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Beteli ameachia ngoma mpya inaitwa Kifo cha msanii Nyanda Madirisha "Nyanda Madirisha the Super Star aliyefariki dunia 06.08.2016 kwa ajali ya pikipiki akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu
Video hii ya msanii Nyanda Beteli kutoka Kaham mkoa wa Shinyanga "Kifo cha Madirisha" imeongozwa na Masesa wa Angel Studio Recording zilizopo mjini Kahama.
Tazama Ngoma hii hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin