Picha: MKUTANO MKUU WA WAMILIKI NA WAENDESHAJI WA BLOGS TANZANIA


Chama cha Wamiliki wa Blogs Tanzania (TBN) kimeanza mafunzo yanayofuatiwa na Mkutano wake Mkuu unaofanyika jijini Dar es Salaam kati ya Desemba 05 na 06,2016 .Pichani ni meza kuu wakati wa ufunguzi ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Hassan Abbas.

Maxence Melo wa Jamii Forum akitoa somo kwa Bloggers juu ya namna bora ya uendeshaji wa mitandao yao.Bloggers wakiwa makini kusikiliza Nondo zilizokuwa zikishushwa na Maxence Melo. 


Maxence Melo akiendelea kushusha nondo.

Wadhamini kutoka NMB wakifuatailia mafunzo hayo ya Bloggers

washiriki wakifuatilia mada.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO ambae pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Hassan Abbas akifungua Mkutano na mafunzo hayo.
Bloggers wakimsikiliza mgeni rasmi.


Bloggers wakifuatilia hotuba.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO ambae pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Hassan Abbas. Kushoto ni Mwenyekiti wa TBN,

Blogger Saria akitoa neno la shukrani.


Mmoja wa Blogger, Krants Mwantepele akitoa madaBloggers wakifuatilia kwa makini mada ya Mwantepele.

Blogger Khalfan Said akinasa taswira

Blogger Willium Malecela 'Lemutuz' akichangia mada


Picha ya pamoja ilipigwa kwa washiriki wote.
Picha zote kwa hisani ya Father Kidevu blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post