Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi Joseph Mungai amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.
Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943.