Ngoma Mpya & Kali ya Asili: NG'WANA MALEZU 'MISS WA KIUME'- Wimbo ICHOLAHabari za weekend hii mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mshabiki wa nyimbo za asili...Utaratibu wetu kila mwisho wa wiki ni kukuletea ngoma/nyimbo za asili..


Leo tumesafiri mpaka Salawe -Shinyanga Vijijini tumekutana na msanii Ng'wana Malezu "Miss wa Kiume".Ametualika kutazama video yake mpya wimbo unaitwa "Ichola".

Ngoma hii imetengenezwa katika studio za Bicon mjini Kahama mkoani Shinyanga

Bofya hapa chini kutazama ngoma hii kali  vijana wanakatika kama hawana mifupa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post