Msanii wa nyimbo za asili anayekuja kwa kasi ya ajabu katika tasnia ya nyimbo za asili Masumbuko Elias kutoka Bhoshola mkoani Shinyanga anayeimba kwa lugha ya Kisukuma ameachia wimbo mpya unaitwa Ukimwi..Wimbo huu mzuri uliobeba ujumbe mzito umetengenezwa katika studio za Tivol jijini Mwanza.Masumbuko anasema yupo kwenye maandalizi ya kuachia video ya ngoma hii
Sikiliza na download wimbo huu mzuri hapa chini